uchaguzi tls

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwabukusi afungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya TLS kumuengua kugombea Urais wa TLS

    Wakili Boniface Mwabukusi amefungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya Chama cha Tanganyika Law Society (TLS) kumuengua kugombea Urais wa TLS. Pia soma: Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS Ikumbukwe Mwabukusi alifikishwa kwenye...
  2. Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS

    Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024 Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika. PIA SOMA -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…