Tume ya uchaguzi ya Tunisia imeidhinisha wagombea watatu pekee kugombea katika uchaguzi wa urais mwezi Oktoba 6, 2024, ikipuuza uamuzi wa mahakama wa kuwarejesha wagombea wengine watatu. Wagombea hao ni Mbunge wa zamani Zouhair Maghzaoui, Mfanyabiashara Ayachi Zammel na Rais wa sasa Kais Saied...