Wanabodini Mlimakafu??
Mimi ni mpenzi wa siasa za maendeleo zaidi na sio za kiharakati. Wakati huo napenda siasa za kisomi kweli kweli..
Nimekaa nikatafakari baada ya kuisha uchaguzi wa Chadema, nimeona mwaka huu kama hawatapata urais basi watakua na wabunge wengi zaidi bungeni (over 50%) of...
Habari zenu mabibi na mabwana?
Nichukue nafasi hii kukipongeza chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa kuhitimisha tukio adhimu sana katika kutekeleza ilani ya chama chao kwa kufanya uchaguzi wa haki na kumpata mwenyekiti wa chama.Hongereni sana..
Pia nichukue nafasi hii kukipongeza...
Bado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.
Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna...
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mjumbe wa Tume, Dkt. Zakia Mohamed Abubakar.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya...
Habari za Chini chini zinasema wafadhili wa CHADEMA na Lissu wamemuhakikishia Lissu endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wao na marafiki zao watatoa helkopa tatu pamoja na gari moja katika kila mkoa ya Tanzània bara na Visiwani ili kukisaidia chama hicho kuelekea Nov 2025.
Haijafahamika...
Hello!
Natumai mu wazima!
Nchi ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni yetu sote watanzania ila kitu kibaya kuna baadhi ya kundi dogo la watu kuona nchi hii ya Tanzania inapaswa kuwa mali yao binafsi.
Hilo ni kosa kubwa kwa chama tawala kudhani wao ndio wanapaswa kutawala nchi hii miaka yote...
CHADEMA mkimchagua Mbowe awe mwenyekiti tena tegemeeni uchaguzi wa 2025 kuwa kama wa 2024, 2020 na 2019. Mbowe hana mbinu mpya au hamasa ya kushawishi mabadiliko ya uchaguzi 2025, Lissu ndio mtu sahihi wa kuongoza na kuleta mabadiliko mwakani.
Mbowe alifaa kuwa mwenyekiti enzi za JK ila sio...
Kama umemsikiliza vizuri Jaji Warioba utagundua hakuna sehemu yoyote amewatuhumu CCM kwa jambo lolote.
Hoja za Jaji Warioba zimelenga Serikali na Upinzani ambako Chadema ndio Chama kikuu.
Kuna sehemu Warioba anasema kabisa "Wanaowaingiza polisi kwenye Siasa ni Serikali siyo CCM"
Hivyo kwa...
Hakuna ubishi kuwa trending ya matokeo ya hivi karibuni inaonesha CCM inashinda kwa kishindo kikubwa,kwa mwenendo huu inawezekana kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani hali ikaendelea hivi hivi lakini kuna athari kubwa ya matokeo yanayotengenezwa.
Hata kama upinzani umeanguka sio kwa kasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.