uchaguzi wa bavicha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Vurugu zaibuka tena usiku huu Uchaguzi wa BAWACHA. Rushwa yatajwa

    Mambo yamezidi kuchangamka! Ni mwendo wa kupigana ngumi tu, yani hadi sasa hile ni tukio la tatu au la nne la vurugu kutoka katika uchaguzi wa BAWACHA ========== Wakati uchaguzi wa baraza la wanawake CHADEMA ukielekea ukingoni kutangazwa kwa matokea vurugu nje ya ukumbi huo zimeubuka baada ya...
  2. Pang Fung Mi

    Hotuba ya John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA ni Ishara Vijana wa CHADEMA choka Mbaya

    Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu...
  3. Mindyou

    CHADEMA pamechangamka! Mgombea wa BAVICHA Shija Shibeshi ajiondoa kwenye kinyang'anyiro kisa Tundu Lissu

    Kijana Shija Shibeshi, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, ametangaza kujiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho. Shija ameomba wafuasi wake kumuunga mkono Wakili Deogratias Mahinyila, ambaye ameeleza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Back
Top Bottom