Mambo yamezidi kuchangamka!
Ni mwendo wa kupigana ngumi tu, yani hadi sasa hile ni tukio la tatu au la nne la vurugu kutoka katika uchaguzi wa BAWACHA
==========
Wakati uchaguzi wa baraza la wanawake CHADEMA ukielekea ukingoni kutangazwa kwa matokea vurugu nje ya ukumbi huo zimeubuka baada ya...
Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu...
Kijana Shija Shibeshi, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, ametangaza kujiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho.
Shija ameomba wafuasi wake kumuunga mkono Wakili Deogratias Mahinyila, ambaye ameeleza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.