Makamu wa Rais wa Marekani ambaye alikuwa Mgombea Urais wa Marekani 2024 aliyeshindwa dhidi ya Rais Mteule Donald Trump, amempigia simu Trump na kumpongeza kwa ushindi kitendo kinachoashiria amekubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi.
Pia, Soma:
• Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Amemmiminia na kupongeza Rais mteule wa Marekani Mheshimiwa Donald Trump. ambaye ni Rais aliyeweka rekodi ya kipekee ya kurejea kwenye kiti cha Urais kwa awamu ya pili katika miaka...
Wakuu,
Kama unafuatilia uchaguzi unaoendelea nchini Marekani basi bila shaka utakuwa umemuona Bilionea Elon akiwa bega kwa bega na Donald ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa 47 wa Marekani.
Ikumbukwe kuwa Elon wakati wa uchaguzi ametumia akaunti yake ya X pamoja na ushawishi wake wa kifedha...
Marekani inatarajia kufanya uchaguzi wa Rais, Tar 5 Novemba. Kukiwa na wagombea sita wa kiti hicho ambapo wagombea nane, ambapo wagombea wawili kati ya hao ni wasio na vyama vya siasa.
Mbali na wagombea wa urais kuwa nane, wagombea wanaofahamika na watu wengi ni wawili ambao ni Donald Trump na...
Kwa uzoefu wangu mdogo vyombo vya habari havitoi habari zao hivi hivi tu bali hupookea fedha ili kuirusha habari flani.
Katika muda wa saa 48 zilizopita uchambuzi wangu unaonesha kuwa kuna ishara kuwa baadhi ya vyombo vya habari vikubwa hapa nchini vimeanza kutuweka tayari kwa muelekeo wa...
Amini au usiamini, kuna kila dalili kuwa huenda makundi ya wanawake, waarabu, waislamu na wahamiaji wanaelekea kumpa Kamala Harris urais wa USA kirahisi kabisa. H
Haya ndio maoni ya wachambuzi wengi wa siasa za USA katika muda wa mwisho kabisa kuelekea kupigwa kwa kura za mwisho siku ya kesho...
Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao.
Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais.
Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa...
Kipindi ninekuwa najaribu kufuatilia hiki kikatuni cha Simpsons huwa kinalenga mambo gani.
Juzi kati hapo nikakutana na scene mpeperusha bendera wa Biden akiwa white house akitoa hotuba na kujibu maswali mbalimbali.
Kama unafuatilia hako kakatuni kwenye the Simpsons "Bart to the Future"...
Ni mwanaume
Ni mwanaume mwenye msimamo
Najua ipo siku femest inaweza kutawala Ila itupe muda kidogo kwakeli ,
Maana femist ndo wachochezi wakubwa wa ndoa za jinsia moja wanaamini mwanamke anaweza kujitosheleza wenyewe
Anaiunga mkono Israel waziwazi Hadi kuhamisha balozi za us Jerusalem mji wa...
Zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani mwezi Novemba, ni wakati wa kuzielewa sera kati ya Makamu wa Rais wa chama cha Democratic, Kamala Harris na Donald Trump wa Republican.
Sera za Harris Kamala vs Trump
1. Mfumuko wa Bei
Harris anasema kipaumbele chake kitakuwa ni...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden asema ameshatoa kibali trump apewe ulinzi sawa na Rais aliyeko madarakani
Soma Pia:
Marekani yasema Iran ndo ilitaka kumuua Trump
Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
October 11...
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, anajiandaa kufanya kampeni kwa ajili ya Makamu wa Rais Kamala Harris katika juhudi za mwisho kuelekea uchaguzi.
Obama, ambaye ni Kiongozi mashuhuri wa Chama cha Democratic, ataanza kampeni zake kwa Harris Alhamisi ijayo huko Pittsburgh, huku akipanga...
Jana kulikuwa na debate kati ya Jade Vance wa chama Cha republican na Tim Walz kutoka democrats.
Niliangalia hiyo debate, yaani Trump alipomchagua Vance, watu waliona Kama amechagua chaguo lisilo sahihi, hata Republican wenzake walikuwa hawamkubali Vance.
Debate ya Jana imebadilisha Kila...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila siku huwa ninawaambia na kuwaelekeza mambo mengi sana juu ya changamoto katika uongozi.huwa ninawaambia kuwa changamoto huwa hazikosekani.
lakini kikubwa kinachopaswa kuangaliwa ni dhamira ,nia na hatua zinazochukuliwa katika kutatua na kumaliza changamoto na kero...
Rais Biden wa Marekani ametumia Mkutano wa 79 wa UNGA jijini New York kuwaaga Marais wenzake
Marekani inafanya Uchanguzi mwaka huu na Joe Biden hatagombea
Soma Pia: Biden anasema aliondoka kwenye kinyang'anyiro cha urais wa Marekani ili 'kuokoa Demokrasia'
Al Jazeera news
Aisee bwana Trump ametoa Kali ya mwaka na Mpya kufuatia kudai kwamba picha zilizosambazwa na kampeni ya Harris ikionesha maelfu ya watu waliofika uwanja wa ndege Kumlaki na kumpokea eti ni za Uongo na zimetengenezwa na AI.
Bwana Trump ambae ni Babu anaewania kuchaguliwa Rais amepigwa na Kiwewe...
Kama wapinzani wake wangekuwa wanamwamini Mungu, wangeachana na mpango wao wa hila wa kutafuta kumkwamisha Trump kushinda kiti cha Urais mwezi Novemba mwaka huu, 2024. Hawatafanikiwa katika hilo asilani!
Kwa mujibu wa "Wachungaji" mbalimbali wenye kipawa cha kuuona ulimwengu wa roho, Donald...
MAREKANI: Mtandao wa New York Times umeripoti kuwa Rais Joe Biden anatafakari iwapo ataendelea na mipango ya kugombea Urais kwa awamu ya pili iki ni baada ya matokeo mabaya ya Mdahalo kati yake na Rais wa zamani, Donald Trump
Imeelezwa kuwa Biden ametambua kuwa ana kibarua kigumu kuwashawishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.