Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Geita Mjini kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio wa nafasi ya Mjumbe wa kundi mchanganyiko katika Mtaa wa 14 Kambarage, kikilalamikia dosari kwenye mchakato wa uchaguzi wa awali.
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Geita Mjini, Pasiquna...