Kama kichwa kinavyojieleza, CHADEMA wanaendelea kutuonesha kuwa hakuna wanaloliweza.
1. Uongozi wa kifalme: Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu. Hili ni tatizo katika uongozi wao. Hata kama katiba yao inamruhusu, angekuwa wa kwanza kupinga katiba ya namna hiyo.
2. Rafu, rushwa imetamalaki huko...
Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu
Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini kitatokea baada ya Kanda hizo kuingia kazini.
Kanda ambazo kipyenga chake kinatarajia kupulizwa na...
Salaam, shalom!!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee.
Jambo jingine, sijasikia kura kuharibika, hili linaonesha kuwa uelewa wa wapiga kura CHADEMA ni WA kiwango Cha juu...
Wananiita Sugu!!! Nani!!
Mbombo ngafu. Bilionea Joseph Mbilinyi aibuka kidedea. Mbowe ni fupa la mzimu, jitihada za Lissu kuunda kundi la kumuengua Mbowe uenyekiti chadema zimegonga mwamba. Kule Pambalu kasambaratishwa vipande vipande na Hezekiah Wenje, kamanda mtiifu wa Mbowe, huku Sugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.