uchaguzi wa ndani chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Kama CHADEMA wanashindwa kusimamia chaguzi zao, wataweza kusimamia nini?

    Kama kichwa kinavyojieleza, CHADEMA wanaendelea kutuonesha kuwa hakuna wanaloliweza. 1. Uongozi wa kifalme: Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu. Hili ni tatizo katika uongozi wao. Hata kama katiba yao inamruhusu, angekuwa wa kwanza kupinga katiba ya namna hiyo. 2. Rafu, rushwa imetamalaki huko...
  2. Pre GE2025 Uchaguzi wa Kanda 4 tu za CHADEMA umeleta kishindo Nchi nzima, ikumbukwe kwamba bado kanda nyingine 6

    Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini kitatokea baada ya Kanda hizo kuingia kazini. Kanda ambazo kipyenga chake kinatarajia kupulizwa na...
  3. R

    Pre GE2025 Hongera CHADEMA kwa uchaguzi huru na haki, sijasikia tukio la wizi wa kura

    Salaam, shalom!! Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee. Jambo jingine, sijasikia kura kuharibika, hili linaonesha kuwa uelewa wa wapiga kura CHADEMA ni WA kiwango Cha juu...
  4. Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

    Wananiita Sugu!!! Nani!! Mbombo ngafu. Bilionea Joseph Mbilinyi aibuka kidedea. Mbowe ni fupa la mzimu, jitihada za Lissu kuunda kundi la kumuengua Mbowe uenyekiti chadema zimegonga mwamba. Kule Pambalu kasambaratishwa vipande vipande na Hezekiah Wenje, kamanda mtiifu wa Mbowe, huku Sugu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…