I don’t have a dog in the fight, but I’m starting to see similar kind of vibes between 2017 and 2025 in relation to Tundu Lisu.
Mwaka 2017 Lisu aligombea urais wa TLS. Kabla ya uchaguzi huo, washabiki wa Lisu walikuwa vocal sana, hususan humu mitandaoni.
Ilikuwa huwaelezi kitu kuhusu huyo...
Ushauri kwa Mwabukusi. Usicheze na jukwaa jikite katika MALENGO YA KUANZISHWA KWA TLS
Kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya TLS sura ya 307 malengo ya kuanzishwa TLS ni:
(a)Kulinda na kukuza viwango vya taaluma ya sheria na mwenendo wa wanasheria nchini Tanzania;
(b) Kuwezesha...
Kumradhi wanabodi kuuliza si ujinga naona tu nguvu nyingi sana zina tumika kuhakikisha TLS Inapata kiongozi fulani. Pengine tofauti na jumuiya zingine nyingi ambazo wahusika huchaguana tu na sa nyingine huchaguana kimyakimya lakini kwa TLS hali ni tofauti sana
Natamani sana kujua nini nguvu ya...
Watu watajiuliza kwa nini sasa TLS inakuwa maarufu sana?
Jibu ni moja tu! Umaarufu wa TLS unatokana na vyombo vya kikatiba kushindwa kusimama katika nafasi yake hivyo kupelekea TLS kama watu wanaojua umuhimu na unyeti wa katiba zaidi kuwa na sauti hivyo kupelekea wananchi kuanza kuwaona kuwa...
Moja ya sababu kubwa anayolalamikia Wakili msomi Nkuba ni Taarifa za Matokeo kuanza kutolewa kabla Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Hajatangaza.
Nkuba anaamini kabisa matokeo halali ni yale majumuisho yanayotangazwa na msimamizi wa Uchaguzi.
Namkumbusha tu Nkuba hii ni Dunia ya Sayansi na Teknolojia...
Uchaguzi wa TLS umekuwa na mafunzo mengi, baadhi yakiwa wazi. Kwa mfano, juhudi kubwa zilizofanywa kumzuia mmoja wa wagombea wa nafasi hiyo asiwemo kwenye kinyang'anyio.
Kampeni zilipoanza ilionekana nguvu za ziada zikielekezwa kwa mgombea aliyetakiwa kushika nafasi hiyo. Lakini juhudi hizo...
UPDATES:
Kama ilivyotarajiwa na wengi, Adv. Boniface Mwabukusi akiwakilisha young lawyers maarufu kama GEN Z - CHADEMA ameshinda kwa kishindo kikuu na kuwa Rais wa TLS kwa miaka mitatu 2024 - 2026 kwa kuwapiga kipigo cha mbwa mwizi wazee wa mfumo corrupt yaani CCM ESTABLISHMENT
Juhudi kubwa...
Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu amesema Mawakili wa Tanzania hawawafikii Mawakili wa Kenya kwa hatua 100
Source: Mwanzo TV Plus.
Soma zaidi: Uchaguzi wa Rais TLS: Nani kuibuka kidedea Urais TLS 2024?
Nimejiuliza sana, mawakili wa serikali wana umoja wao unaitwa TPBA (Tanzania Public Bar Association) yaani umoja wa mawakili wa serikali Tanzania, na wana Rais wao. Upande wetu TLS ukiongea kiuhalisia kabisa, unahusu Mawakili wa kujitegemea.
TLS inajali maslahi ya mawakili wa kujitegemea, na...
Salaam Wakuu,
Mwezi wa nane chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) wanafanya Uchaguzi wa kumchagua raisi wao na Viongozi wengine.
Kitu ambacho kimewashangaza wengi, ni kukatwa kwa jina la Wakili Mwabukusi asigombee Urais wa TLS kwasababu eti anawavunjia heshima Viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.