uchaguzi wa urais

  1. L

    Uchaguzi wa Urais umekwisha na atakayekuwa Rais ameshajulikana tayari. Wapinzani wajipange Tu kwa uchaguzi wa Wabunge na madiwani

    Ndugu zangu Watanzania, Maneno haya yanaweza kuwa na maumivu makubwa sana kwa upinzani wa Nchi hii na kuonyesha pengine kuwakatisha Tamaa. Lakini huo ndio ukweli wenyewe na ndio uhalisia wenyewe wa Mambo . Kwamba mpaka sasa Rais Na makamu wa Rais watakao Ongoza Taifa letu kwa kipindi cha Miaka...
  2. B

    Baada ya Donald Trump kushinda uchaguzi wa urais Marekani kesi mbili zake zitaendelea Mahakani?

    Donald Trump (78) ndiye rais mteule wa Marekani baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi ulifanyika Jumanne ya Novemba 5 mwaka huu nchini humo Kabla ya ushindi wake mwamba huyo Trump alikuwa akikabiliwa na kesi mbili tofauti awali alifikishwa mahakani kwa kosa la kutumia ofisi ya Serikali...
  3. Mohamed Said

    Tundu Lissu Anakumbusha Uchaguzi wa Urais wa TAA Kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere 1953

    TUNDU LISSU AKUMBUSHA UCHAGUZI WA PRESIDENT WA TAA KATI YA ABDULWAHID SYKES NA JULIUS NYERERE 1953 Kila uchao tunakumbushana na kuazima ukurasa kusoma kutoka historia ambayo ilifutika. Leo usiku katika kipindi cha ITV Dak. 45 Tundu Lissu akihojiwa na Mtangazaji Farhia Middle katika kujadili...
  4. JanguKamaJangu

    Uchaguzi wa Urais Marekani bila majina ya Biden, Bush na Clinton kwa mara ya kwanza tangu Mwaka 1976

    No Biden, Bush or Clinton on presidential tickets for first time since 1976 The three familiar last names in US politics have been candidates for president or vice president in every presidential election from 1980 until 2020. Republican George HW Bush ran as Ronald Reagan’s vice president in...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Pre GE2025 Tamthilia: Uchaguzi wa Urais mwaka 2025, Mwenge wa Demokrasia

    Tamthilia: Uchaguzi wa Urais mwaka 2025, Mwenge wa Demokrasia Wahusika Wakuu 1.Amani Chawote- Mgombea urais wa chama cha Demokrasia kwa Kila Mtu (DKM) 2.Salama Mwita - Mgombea urais wa chama cha Umoja wa Wazalendo (UW) 3.Juma Kiboko - Mwandishi wa habari na mchambuzi wa siasa 4.Nadia Juma...
Back
Top Bottom