Masoko ya chakula nchini yamekuwa katika hali ya uchakavu na uchafu hivyo kuhatarisha afya za watumiaji wa huduma za masoko hayo hususani wanawake ambao ndio watumiaji wakubwa wa huduma hii. Hii ni kinyume na Sheria ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982 (kama iliyorekebiswa) inayozipa...