Wakazi wa kijiji cha Buzilasoga Wilayani Sengerema wametoa wito kwa serikali kuharakisha kubomoa madarasa mabovu katika shule ya msingi Buzilasoga ili kuepusha hatari inayoweza kuwakumba wanafunzi pamoja na walimu shuleni hapo.
Hali ya madarasa hayo ni mbaya sana kwani kwani yamejengwa mika ya...