Habari wakuu,
Huu ni uzi maalumu kwa wadau wote wa mpira wa miguu mnaotaka kuuelewa mpira na kuuchambua mnakaribishwa
Pia wadau wote wenye hii taaluma mnakaribishwa kutoa somo na kubadilishana vitabu
Binafsi nimesoma vitabu viwili mpaka sasa kimoja namalizia
Jambo mbalo sikuwa nalijua ni...