uchangiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC04 Kuimarisha Uchangiaji Damu Tanzania kupitia Mfumo wa Tehama: Suluhisho la Changamoto za Upatikanaji wa Damu Salama

    Utangulizi Uchangiaji damu ni kitendo muhimu cha hisani ambacho huokoa maisha ya wale wanaohitaji damu. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mahitaji ya damu yanakadiriwa kuwa asilimia moja ya jumla ya idadi ya wananchi. Kwa Tanzania, hii inamaanisha chupa za damu 550,000 zinahitajika...
  2. T

    Lengo la Uchangiaji wa gari ya Lissu ni shillingi ngapi?

    Kuchangia fedha kimya kimya si motisha kwa mchangiaji,tunaombwa tujuzwe ni shillingi ngapi zinahitajika kununua gari ili watu wachangie kwa malengo vinginevyo uchangiaji huu hauna afya kwa mchangiaji. hiyo gari ni ya shillingi ngapi?
  3. Kwa kuangalia uchangiaji wa mada nimegundua watumiaji wengi wa JF hutumia device za maofisini mwao

    Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa. Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana. Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin...
  4. Habari ya ITV usiku huu kuhusu uchangiaji wa Figo haipo sahihi, itaogopesha wachangiaji

    Upandikizaji wa figo (renal transplant) sasa hivi unafanyika hapa hapa nchini kwetu. Na tuko mbioni pia kuanza upandikizaji wa maini (liver transplant). Huko nyuma tulilazimika kuwapeleka wagonjwa wanaohitaji huduma hii nje ya nchi, hasa India kwa gharama kubwa ya fedha za nje za USA dollars...
  5. Hospitali za Tanzania zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa Damu

    Tanzania bado inakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu salama hospitalini huku wataalamu wakitoa wito kwa taasisi binafsi na za umma kuongeza kasi ya uchangiaji damu kwa hiari ili kubadili wimbi hilo. Wataalamu waliokusanyika wakati wa hafla ya kuchangia damu iliyoandaliwa na wafanyakazi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…