Samia ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga. Vijana hawa ambao usoni ni wapinzani lakini kwa macho ya rohoni ni CCM lialia wamemwaga pongezi kedekede zilizojaa mazezele (mafuta mafuta).
Heri Wana Jukwaa na Hongera Kwa majukumu ya leo. Nilipata nafasi kuungana na watanzania na wafiwa katika kumuaga Mhe. Mafuru (Late).
Baada ya jambo Hilo kwisha na viongoz wakuu kuondoka nani nikajitokea mdogo mdogo nikawa nawaaga wajasiria Mali waliokuwa wakiuza leso na maji pale getini...
Bwana yule alipingwa na kuandamwa hasa na daraja la juu(elites) la ndani na nje kwa pamoja kwa sababu hakuwa polished, alikuwa mtu blunt. Mawazo yake yawe mabaya au mazuri alikuwa akiyasema kwa namna ile ile tu bila kuremba, akikichukia alikuwa hajitahidi kuonyesha anakupenda, akikasirika au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.