Wakuu
Msanii Profesa Jay amesema baadhi ya Watu wanaowashambulia Wasanii kama Ay na wengine kutokana na kupanda kwenye majukaa ya Vyama vya siasa, hawawatendei haki kwasababu Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia.
Kwenye mahojiano maalum na Mtangazaji Millard Ayo, Profesa Jay ameeleza yafuatayo...
Wakuu,
Wenyeviti wa mitaa wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, wameungana kwa pamoja kumuombea dua Rais Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kumtakia afya njema, hekima na uongozi mwema ili aendelee kuiongoza nchi kwa amani na kuleta maendeleo.
Soma pia: Picha: Viongozi wa Dini wakiwa viwanja vya...
Wakuu,
Kama mnavyojua leo ni siku ya wanawake duniani na huko mitandaoni nimeona baadhi ya viongozi wa CCM wamevaa mavitenge yenye picha za Rais Samia.
Vitenge kama mnavyojua ni fabrics za wanawake. Nyie wana CCM wanaume ambao mmmeshonesha mashati ya vitenge mnataka mtutumie ujumbe gani?
Ni...
Kifungu cha hii imani tukufu:
2) Kila mtu astahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake....".
Chawa hawa ni wazalendo wa kuigwa kwa kuiendeleza imani hiyo na tunu za taifa letu.
Rais ni nembo yetu, urais ni TUNU yetu.Tunapoheshimiana utu wetu huku mitaani tuubague UTU na heshima ya...
Rais wetu kipenzi cha Watanzania wote Dkt Samia Suluhu Hassani, hakika kazi unayoifanya ni kubwa sana maana kila kona ni maendeleo.
Kwenye huduma za afya umeweka hela nyingi kama vile ujenzi wa zahanati, vituo vya afya, madawa n.k
Umegusa kwenye miundombinu ya barabara huko usiseme, Umeme upo...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amewapokea na kuwakaribisha Chawa wa Rais Samia huko Zanzibar na kuwaahidi kuwa Serikali ipo nao na inaunga mkono mambo wanayofanya.
Aidha, amewaomba kuendelea kuyasema yale mema na mazuri yanayofanywa na Rais Samia pamoja na Rais Mwinyi ili...
Wakuu,
Baada ya wasanii na mashirika mbalimbali kuunga mkono juhudi sasa CCM wameanza kwenda hadi kwa raia wa kigeni.
Kuna muda CCM wanapenda tu watu tuongee mseme watu wanakosoa kila kitu.
Hapa ilikuwa ni kwenye ufunguzi wa Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni huko mkoani Tanga...
Hii tabia ya kila kitu mama mama mama inachosha kuchusha kuboa na kutia kinyaa.
Unakuta kijana ana nguvu zake safi tu badala achape kazi atoboe yeye anashabikia mtu ili apate kitu.
Ukiona WALIMU WANAFUNZI WA vyuo nk wanatengeneza makundi ya whasap na kujinasibisha na mama sio kwamba wanampenda...
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Japhar Kubecha akiwa ameambatana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanga Dalmia Mikaya kwa kushirikiana na Taasisi ya Watoto Foundation wamekabidhi madaftari zaidi ya 1000 katika Shule tatu za msingi kwa Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika Jiji la Tanga.
Akiongea wakati...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakuna kipindi Ambacho nimeshuhudia mafundi ujenzi wakiwa Bize mitaani kama awamu hii ya Rais Samia. Muda wote na siku zote unaona mafundi wakiwa katika site mbalimbali wakiendelea na shughuli za ujenzi. Ni wao tu kuchagua mahali pa kwenda kati ya miradi ya serikali au...
Kama sifa zingefanya binadamu aishi milele, kama kupewa majina yenye sifa kama mtukufu, mpendwa, mbeba maono, Daktari bingwa, profesa, msafi, msikivu, mpendwa, mwenye elimu sana kuliko hata Maprofesa, mwanafalsafa, muumini, mpenda watanzania hata wadudu, mzalendo, mchangamfu, mpole, mwenye...
Ni mwendo wa kuwa chawa tu mpaka uhakikishe kambo yako imefungwa vizuri kwenye mtu uanze kula!
====
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
“Kwa namna ya...
Kwa mujibu wa maelezo ya gazeti la Mwananchi wakinukuu maoni ya Luqman Moloto anasema Sekretarieti ya CCM Imejaa Watu "Machawa" au Tegemezi ambao wanakitegemea chama kuliko Chama kuwategemea wao ukilinganisha na Wapinzani.
My Take
CCM ni chama Pendwa, maoni haya yanaonesha Mwananchi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.