Wakuu,
Imefikia hatua sasa CCM wameanza kutumia wazungu kama machawa wao ili waonekane wananfanya kazi
=========================================
Ryan Shirley kutoka Jimbo la Utah, Magharibi mwa Marekani ameeleza kufurahishwa na mabadiliko makubwa kwenye mandhari ya Jiji la Arusha...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amewapokea na kuwakaribisha Chawa wa Rais Samia huko Zanzibar na kuwaahidi kuwa Serikali ipo nao na inaunga mkono mambo wanayofanya.
Aidha, amewaomba kuendelea kuyasema yale mema na mazuri yanayofanywa na Rais Samia pamoja na Rais Mwinyi ili...
Aiseee,
Yani sasa hivi hata thamani ya utu imepotea,
Naamini hata babu yako akiamka leo toka kaburini akute jinsi unavyo samabaratisha moyo wako kwa kuunda uongo uongo ndani yako ili mtu fulani aone jinsi unavyo mtukuza mtu ili tu ubahatike kujipatia kakitu fulani, aisee atarudi tena kusinzia...
Wakuu,
Yaani Rais kupiga picha tu, chawa washaingia studio kutengeneza nyimbo out of that picture.
Huyu D Voice ndio alikuwa the last standing artist hapo Wasafi bila viashiria vya chawa ila naona nae kashakuwa chawa wa mama.
Yaani Rais kuwa photogenic kidogo tu watu mshaingia studio kutunga...
Wakuu
Uchaguzi unakuja, Oktoba 2025 sio mbali, lakini wote tunashuhudia vijana wengi wamegeuka "machawa" na kupoteza mwelekeo wa kisiasa. Badala ya kujadili sera, ajira, elimu, na uchumi, wamebaki kujipendekeza kusiko na faida kwa maisha yetu.
Mastaa Wengi wamegeuka kuwa mashine za kuwapamba...
Wakuu niaje?
Nimekutana na clip ya Sheikh Kishki akisema kuwa Uchawa (kujipendekeza kwa watu ili update maslahi kumekatazwa katika Uislam).
Vipi kuhusu viongozi wetu wa dini ambao wamekuwa machawa wabobevu?
Hebu msikilize mwenyewe hapo chini utie neno
Kama sifa zingefanya binadamu aishi milele, kama kupewa majina yenye sifa kama mtukufu, mpendwa, mbeba maono, Daktari bingwa, profesa, msafi, msikivu, mpendwa, mwenye elimu sana kuliko hata Maprofesa, mwanafalsafa, muumini, mpenda watanzania hata wadudu, mzalendo, mchangamfu, mpole, mwenye...
Habari kamili hii hapa
Mtangazaji Burton Mwemba, maarufu Mwijaku ameishauri Serikali kuona umuhimu wa kuwa na mfumo mzuri wa kuangalia aina ya upatikanaji viongozi kwa baadhi ya nafasi hasa zile za kuteuliwa na Rais au taasisi fulani.
“Kumteua mtu lazima kuwe na utaratibu wa aina mbili...
Dotto magari ni mfano wa limbukeni aliochangamka.
Limbukeni anapopata pesa kinachofata ni kufanya mambo akiwa out of control.
Hakuna anaependa kuwa nyuma kimaisha licha ya kusoma kwa maana alitegemea atapata ajira kwa maana kama mpiga kura aliahidiwa ajira, kama mkatwa kodi aliahidiwa ajira...
UCHAWA NI JANGA LINALOITAFUNA NCHI KIMAADILI
Sisi tuendelee na kukemea Uchawa kwanza. Mifumo ya nchi inavurugika kutokana na Uchawa. Mtu Akiwa chawa anakuwa ameukana Uzalendo wake kwa nchi. Tuutokomeze Uchawa ili watu waone fahari kujiita ndugu au Comrade.
Tukifaulu hapa Watu watasoma Ilani...
ELIMU SAHIHI YA SIASA IKO NDANI YA VITABU HUSIKA TUUTOKOMEZE UCHAWA KWA KUTOA ELIMU ILIYO SAHIHI KUHUSU SIASA
Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko ndotoni nikiwa Usingizini nikiropokwa Kama vile nimevuta Bangi Tena kile kijiti Cha Arusha Meru milimani. Nikikemea Wasomi wasiokuwa na faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.