Mama, Labda pengine wengine wanakuogopa. Au tuseme wanashindwa kukufikishia ujumbe. Lakini mimi, kwa unyenyekevu kabisa, nimeona kupitia safu hii niwe nakupenyezea yale ambayo yanasemwa huku mtaani lakini wasaidizi wako hawakufikishii ipasavyo.
Mama, kabla sijatiririka mengi kwanza nianze na...
Wakuu,
Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni.
Imagine jinsi Marais wenzake watakuwa wanakufa mbavu kwa haya yanayotokea huku:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:.
Kupata...
Wakuu Habari ya Jumapili...
Niende moja kwa moja kwenye mada,miaka ya karibuni kumezuka mtindo mpya wa maisha ya kusifia watu Mbele ya camera na kupewa pesa,wenyewe machawa wanaita "kuokota".
Vijana wengi wamekua wakidhani hayo ni maisha halisi bila kujua scene nyingi ni maigizo,matangazo au...
Kumeibuka tabia ya aibu, tabia ya kishenzi kwenye jamii ya vijana wa Kitanzania. Vijana wamekuwa kama walemavu, wameamua kutumia mitandao ya kijamii kusifia wanadamu wenzao ambao huwapa unga na mboga. Ni aibu.
Lakini ni tofauti na vijana hawa, huwezi kuona kwenye video zao wakimsifia mtu. Hilo...
Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais.
Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa Usafirishaji kushindwa kusema wanamshukuru Rais kwa jambo lipi, Yaani wanashukuru bila hata kujua...
Chawa ni zaidi ya mpambe.
Napenda kuzungumzia hawa chawa wa kiume, kuanzia kwenye siasa, music industry hata mtaani.
Chawa wanapenda lifestyle la wanaume wenzao wenye pesa, ili kuweza na yeye kufika pale na aishi yale maisha atatengeneza ukaribu na boss ili kumfurahisha kwa maneno ama vitendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.