Wakati anahutubia wananchi huko Rwinga, wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Rais Samia alimpa nafasi ya kuzungumza Koplo mstaafu ambaye alionekana kuwa ni mzee mtu mzima.
Mzee huyo kutokana na mapenzi yake kwa Rais Samia, alimpa Samia fimbo ambayo kwa mujibu wake itamsaidia kuchapa wapinzani...
Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne...
UCHAWA NI JANGA LINALOITAFUNA NCHI KIMAADILI
Sisi tuendelee na kukemea Uchawa kwanza. Mifumo ya nchi inavurugika kutokana na Uchawa. Mtu Akiwa chawa anakuwa ameukana Uzalendo wake kwa nchi. Tuutokomeze Uchawa ili watu waone fahari kujiita ndugu au Comrade.
Tukifaulu hapa Watu watasoma Ilani...
ELIMU SAHIHI YA SIASA IKO NDANI YA VITABU HUSIKA TUUTOKOMEZE UCHAWA KWA KUTOA ELIMU ILIYO SAHIHI KUHUSU SIASA
Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko ndotoni nikiwa Usingizini nikiropokwa Kama vile nimevuta Bangi Tena kile kijiti Cha Arusha Meru milimani. Nikikemea Wasomi wasiokuwa na faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.