Huko Instagram kuna kitu wanafanya challenge eti wanaita Samia challenge, wanashindana kuvaa ushungi na vimiwani kama Raisi ππππ
Ingekua Mimi ni huyu mama ningefanya kama Kagame au Mugabe, naburuza hadi nichoke mimi, sasa kama watu maarufu NI kama maiti unaburuza tuu, raia asilimia kubwa...
Haji Manara alipokuwa Simba alikuwa bega Kwa bega na Mo, hata walipotokea wazalendo wengine kujaribu kumuuliza Mo kuhusu bilioni 20 yeye alikuwa mbele sana kuwapinga na kuungana na wengine kuwaita wote wanaompinga Mo 'njaa "..na maadui wa Simba.
Hadi yeye Manara alipogombana na Mo na kuhamia...