Maisha ya soka hapa Tanzania yamejaa maswali mengi sana.Unaweza ukafikiri mpira ni kipaji,uwezo,nidhamu na kujituma sana katika mazoezi.Kwa hapa Tanzania jibu ni lah!
Watanzania wengi wakiwemo viongozi wa timu hizi wanaamini kuwa mchezaji anaweza kurogwa kupitia mahusiano ya kimapenzi na...