Tutofautishe kati ya uchawi, dawa na sumu, Uchawi unaadhili akili TU ya mtu (psychic) lakini dawa na sumu vinaathili mwili na akili (psycho-soma).
Kitu chochote kama vile maneno, paka, ndege, ungo, kikapu, hirizi, kibatali, kumwaga maji, kuzunguuka uwanja na vitendo vyote ambayo sio sehemu ya...