Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini.
1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa.
2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan.
Ushahidi wanao Azam...
IPO hivi ,Nina mshikaji wangu flan mwanangu sana , yeye amebahatika kufanya biashara tu yaani Toka ukinga akiwa mdogo sana yeye ni biashara tu .
Sasa kilichotokea wanavyodai alizama kishirikina kwenye duka la wajomba zangu ( wakinga) then akakamatwa kishirikina kikaitishwa kikao Cha wachache...
Ipo hivi, kuna sehemu nimetoka kununua uwanja almost miezi kama miwili sasa.
Kinachoshangaza na kuanza kuingia na hofu ni hili tukio, kuna sehemu nikifika gari inapungua nguvu automatic na kuzima muda mwingine, mara ya kwanza nikawa na hofu kuwa huenda ni driving yangu mbovu tu na kuzarau eneo...
Tunawaomba sana Viongozi wetu wa dini kwa imani zote wakemee vitendo vya kishirikina na ramli chonganishi vinavyo chagizwa zaidi na Wanasiasa wenye uchu wa kutafuta nafasi za teuzi, wasaka vyeo/madaraka na wasaka utajiri, makundi hayo baadhi yao ndio wanao chochea kwa kiasi kikubwa wimbi la...
Wadau hamjamboni nyote?
Naambiwa kuwa mikoa/ Wilaya/ kata/ vijiji vyote tanzania vina Imani za Ushirikina/uchawi
Ndugu kama huo ndiyo ukweli kuwa Imani hizo za Ushirikina ziko maeneo yote nchini,
Swali langu kwanini baadhi ya Mikoa
imepiga hatua kubwa kimaendeleo na watu wake wamestawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.