uchawi na ushirikina tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sindano na CCTV Zina siri gani kwa Timu ya Yanga

    Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini. 1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa. 2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan. Ushahidi wanao Azam...
  2. M

    Rafiki yangu kashikwa uchawi nikimuliza ananijibu ni Imani ya kazi

    IPO hivi ,Nina mshikaji wangu flan mwanangu sana , yeye amebahatika kufanya biashara tu yaani Toka ukinga akiwa mdogo sana yeye ni biashara tu . Sasa kilichotokea wanavyodai alizama kishirikina kwenye duka la wajomba zangu ( wakinga) then akakamatwa kishirikina kikaitishwa kikao Cha wachache...
  3. M

    Naona tukio la kishirikiana waziwazi, hali hii inanitisha sana

    Ipo hivi, kuna sehemu nimetoka kununua uwanja almost miezi kama miwili sasa. Kinachoshangaza na kuanza kuingia na hofu ni hili tukio, kuna sehemu nikifika gari inapungua nguvu automatic na kuzima muda mwingine, mara ya kwanza nikawa na hofu kuwa huenda ni driving yangu mbovu tu na kuzarau eneo...
  4. Z

    Viongozi wetu wa dini zote, kemeeni vitendo vya imani za kishirikina kwa wanasiasa pamoja na wasaka vyeo na utajiri

    Tunawaomba sana Viongozi wetu wa dini kwa imani zote wakemee vitendo vya kishirikina na ramli chonganishi vinavyo chagizwa zaidi na Wanasiasa wenye uchu wa kutafuta nafasi za teuzi, wasaka vyeo/madaraka na wasaka utajiri, makundi hayo baadhi yao ndio wanao chochea kwa kiasi kikubwa wimbi la...
  5. U

    Kama ni kweli Ushirikina au uchawi upo maeneo yote nchini kwanini wengine wamepiga hatua kimaendeleo kuliko wengineo?

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa kuwa mikoa/ Wilaya/ kata/ vijiji vyote tanzania vina Imani za Ushirikina/uchawi Ndugu kama huo ndiyo ukweli kuwa Imani hizo za Ushirikina ziko maeneo yote nchini, Swali langu kwanini baadhi ya Mikoa imepiga hatua kubwa kimaendeleo na watu wake wamestawi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…