Jaman mtandaoni kuna vitu vingi sana lakini vingine vinanichanganya nimepita mtandaon nikakutana na kitu kinaitwa JINSI YA KUJIFUNZA UCHAWI Et wanasema uchawi ni sayansi tena et unaweza kujifunza uchawi wa moto. Maji. Nk.
Et kupitia kuingiza joto la moto mwilin mwako et ni kuungana na moto et...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.