Nitashangaa hadi leo kama bado tutaendelea kufanya debate kuhusu uwepo wa uchawi.
Wengi tuna downplay uwepo wa uchawi sio kuwa tuna uhakika kuwa haupo ila basi tu tujioneshe wenye status ya usasa na umjini mjini ila ukweli ni kuwa yajatukuta ya kutukuta.
Uchawi sio stori za kufikirika, uchawi...
Katika miaka niliyo nayo mpaka sasa sijawahi kukubali kuwa eti kuna uchawi sijui mtu anaweza kuloga sijiui mambo yako yasiende.
Kama kweli uchawi upo kwanini hao wachawi wasiende benki wakaloga wakachukua pesa.
Kama kuna mtu humu ndani alishawahi kulogwa njoo utupe mrejesho ilikuwaje.
Pia...
Wadau hamjamboni nyote?
Naambiwa kuwa mikoa/ Wilaya/ kata/ vijiji vyote tanzania vina Imani za Ushirikina/uchawi
Ndugu kama huo ndiyo ukweli kuwa Imani hizo za Ushirikina ziko maeneo yote nchini,
Swali langu kwanini baadhi ya Mikoa
imepiga hatua kubwa kimaendeleo na watu wake wamestawi...
Yah habar ndio hio, wakati Dunia ikizidi kusonga mbele Kwa science na technology, tz 🇹🇿 Hali ni tofauti kabisa , Wao wanarudi zama za mawe (stone Age).
Hii habari ime reportwa shinyanga mwaka 2023 July na BBC Swahili, Lakin hatukusikia tamko la serikali, la kufanya uchunguzi AU Hata kukemea...
***** yaani Mali akanifanya nijione leo namkalisha kanji kipindi chote cha kwanza mpaka cha pili baada ya goli nikajiona nimemaliza kazi!
***** alooo Ivory coast walinishangaza kama mtu kavamiwa na nyuki, sio kwa boli lile jamani ule ni uchawi, yaani timu iko pungufu baada ya red card halafu...
Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo.
"Atheist" atalichukuliaje tukio hilo?
Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi.
Video hiyo hapo.
Sheria inasemaje...
Ama kweli la kuvunda alisikiii ubani, Simba kakutana na timu ya ovyo kabisa lakini wanatia huruma!
Napata mashtaka awa jwaneng walimfungaje whydad? Nilisikia mashabiki wa whydad walisema jwaneng walishinda kwa ndumba naanza kuamini kwa ninachokiona uwanjani!
Mechi hii Simba alitakiwa ashinde...
Kiwango cha Azam ni kibovu sana, mtu yeyote mwenye akili hawezi kwenda na kocha huyu, azam wanaongoza bao 2 1 hadi sasa dakika ya 59 lakini nina uhakika hata kama wataiondoa Bahir leo, kocha hana kazi.
Timu imesajili vyuma hasa lakini kiwango sifuri, asipofukuzwa kocha kesho mtaniambia
Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee.
Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba, vijana, wanafunzi nk, wote wakaachia siti zao wakaanza kuyarudi bila aibu.
Kulikuwa na abiria wanne...
Ilikuwa ni alhamisi wiki iliyopita nikiwa Mbeya uyole niliona kitu cha kushangaza. Leo nawaletea hapa.
Siku hiyo nikiwa stend uyole mbeya nikisubiri gari za kwenda Dar maarufu "hakuna kulala" nikiwa sina hili wala lile ghafla mama wa makamo kwa muonekano ni msafiri pia akawa analalamika...
Nilikuwa naupiga mwingi kiasi, kabla sijazeeka.
Mtama, Lindi kilikuwa kituo changu cha kwanza cha kazi baada ya kuajiriwa. Kama kawaida ya ujana, nikajichanganya kitaa na kufahamika mitaa ile na vijiji vya jirani vyote kuhusu usakataji wangu wa kabumbu. Kule, kabumbu (ligi) linapigwa sana baada...
Ripoti za roho
Jumamosi, Februari 15, 2020
Peter Okandjo wa Kongo 1
Vita juu ya Watakatifu:
Hadithi ya ndani ya aliyekuwa mchawi
Sura ya Kwanza - Utangulizi
Nataka niweke wazi kwamba ushuhuda huu hauhusu kumtukuza shetani. Ninashuhudia ili kuonyesha utukufu wa Mungu mbele ya Shetani. Nataka...
Nimekuwa nikifatilia namna ya uchezaji wa huyu bwana, hakika Hana uwezo wa kucheza hapo msimbazi. Jamaa ni mweupe mno kwenye maswala ya mpira na Kama siyo uchawi hakika hapati namba kwenye klabu yoyote ya mpira hapa nchini.
Kwa haya maneno nimemwelewa mno Coach wetu Nabi. Nimemwelewa kwa lugha nyingine anachomaanisha. Hawa jamaa hata pesa ya kula ilikuwa changamoto. Ilibidi sisi Yanga tuwasaidie. Hili ndo gari walikuwa wanalitumia hapa Dar. Imagine mwenyewe.
Eeh bwana eeh ni yule yule Mr. Liverpool A.K.A bingwa wa EPL na bingwa wa NBC PL (Mwananchi).
NB:-
Naleta uzi huu si kwa lengo la kutangaza biashara au vipi ila ni KUTOA USHUHUDA WA MAMBO YA DUNIA..!!
FLACK BACK
Mwaka jana mwezi wa 4 nililetewa idea ya biashara na bosi fulani hivi wa huku...
Uchawi upo ndugu zangu.
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga.
Mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona.
Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani...
Habari za usiku huu wana jamvi. Kama bandiko linavyojieleza, Uchawi upo na matukio ya kichawi baadhi yetu tumekuwa tukiyashuhudia.
Swali langi je, kuna uganga wa kweli katika kutibu uchawi?
Au kumnyoosha anae kutendea visivyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.