uchazi serikali mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Wasanii mnajua uchawa tu na kuhongwa mpitishe ajenda za kipuuzi, kupiga kura aaah!

    Wakuu, Mpaka sasa nimeona msanii mmoja tu ndio ampost akipiga kura, Ali Kiba, wengine nyiiiii! Mnajua kulamba nyayo tu na kula hela kupitisha ajenda za kipuuzi linakuja jambo la maana huoni mtu, waleeee wanakula kona. Au sababu kwenye kupiga kura hamna kujishaua shaua? Useless kabisa...
Back
Top Bottom