Wakuu,
Mpaka sasa nimeona msanii mmoja tu ndio ampost akipiga kura, Ali Kiba, wengine nyiiiii!
Mnajua kulamba nyayo tu na kula hela kupitisha ajenda za kipuuzi linakuja jambo la maana huoni mtu, waleeee wanakula kona.
Au sababu kwenye kupiga kura hamna kujishaua shaua? Useless kabisa...