Maelezo ya Malalamiko:
Naandika malalamiko haya kwa niaba ya ndugu yangu ambaye ni mwanachama wa NSSF na alifuata taratibu zote zinazohitajika ili kudai faida za uzazi (maternity benefits). Nyaraka zote muhimu ziliwasilishwa kwa wakati, ikiwa ni pamoja na cheti cha daktari na fomu za madai...
Mimi ni mdau niliyesoma Chuo Kikuu cha ZANZIBAR Tunguu Mkoa wa Kusini Zanzibar, nalalamikia kwamba katika kipindi hichi Wanafunzi tuliomaliza Mwaka 2024 - 2025 katika kozi tofauti chuoni hapo tunacheleweshewa kupewa vyeti vyetu pamoja na transcript ambazo zinatusaidia katika kutafuta ajira na...
Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema.
Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda...
Anonymous
Thread
elimu
elimu msingi
fedha
kuchelewa
malalamiko
msingi
sana
serikali
shule
shule za msingi
ucheleweshaji
uendeshaji
upande
Ucheleweshaji wa Pasipoti: Changamoto na Maswali Yasiyojibiwa
Mnamo tarehe 23 Septemba 2024, nilikamilisha hatua ya kwanza ya maombi ya pasipoti ya kawaida kwa kujaza fomu namba 24ER-Y091-Q020 na kuwasilisha viambato vyote vya msingi na ziada kwa njia ya mtandao, kisha kulipa shilingi 20,000/-...
Mnamo tarehe 23 Septemba 2024, nilikamilisha hatua ya kwanza ya maombi ya pasipoti ya kawaida kwa kujaza fomu namba 24ER-Y091-Q020 na kuwasilisha viambato vyote vya msingi na ziada kwa njia ya mtandao, kisha kulipa shilingi 20,000/- za Kitanzania kama ada ya huduma. Siku iliyofuata, tarehe 24...
1.0 Kuanzia Mahakama za chini hadi Mahakama Kuu suala la Hakimu au Jaji kuharibu kesi kwa manufaa yake ni la kawaida tu. HAWAJALI.
Wanajificha kwenye mstari wa mwisho wa hukumu zao unaosema "mlalamikaji/ mlalamikiwa ana haki ya kukata rufaa kwenye Mahakama ya juu"
Mfumo wa kutengeneza rufaa...
Kamishna wa Polisi, Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi, Shaban Hiki, amesema licha ya Ofisi ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kufanyia kazi kwa wakati sampuli inazozipokea, wataalamu na askari wa upelelezi huchelewa hadi mwaka kuzichukua na kuchelewesha haki kutendeka.
Amesema licha ya...
Madai ya muda kwa Tanroads yanayoongeza gharama za mradi, ucheleweshaji– Ripoti ya CAG
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, wakandarasi na washauri walikuwa na madai ya TZS 1.03 trilioni hadi Novemba 2019 kutokana na kuchelewa kulipwa hati za malipo ya muda.
“Ilibainika kuwa madai hayo yalisababishwa na...
Hoja iliyopo midomoni mwa watumishi wa serikali na watawala nikutuaminisha kwamba mizigo inacheleweshwa bandarini. Lakini miaka miwili nyuma tulisifia sana ufanisi wa bandari. Je haiwezekani kwamba tuliopo sasa tumeiua bandari?
Magufuli aliwezaje kuwatumia watu hawahawa akapata tija hadi sote...
Habari wakuu.
Ni mwezi wa nne Sasa tangu utumishi watangazi ajira kwa kada tofauti katika LGs and MDs Ila hadi mwezi huu hawaja ita watu kwenye saili.
Tatizo ni utumishi kuwa na watumishi wachache au ni kukosa accountability kwenye kazi zao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.