uchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. covid 19

    Simba na Taifa Stars: Changamoto na Nini Kifanyike Kuleta Mabadiliko ya kweli

    Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya ushambuliaji—kimsingi, Simba haina makali mbele. Kazi kubwa inafanywa vizuri sana kutoka nyuma hadi...
  2. G

    Kwa namna ya uchezaji na midundo inayovutia, hizi ni ngoma za kikabila zilizonivutia zaidi

    1. WAHAYA - Ngoma zao nazielewa sana vile wanavyo tumia miguu kusigina na kutumia viuno na mikono, ni ngoma inayochezesha mwili mzima. 2. WAZARAMO - Napenda zaidi vyombo vya wapiga ngoma, ni vibe la hatari ila kucheza ngoma hakuna mpangilio. 3. WASAFWA - Hawa ni kabila lipo Mbeya, Ngoma zao...
  3. Chizi Maarifa

    Azam jana walitukamia, huo si uchezaji wao wanapokutana nasi

    Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas. Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi...
  4. Majok majok

    Ama kweli Wydad wakubali kuanza upya kuijenga timu yao, kwa timu hii waliyonayo na uchezaji wao kazi wanayo!

    Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza. Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu! Simba msijisifu kumfunga wydad...
  5. Ndondombi Mulin

    Wanaume, Mitindo ya uchezaji na Uanaume

    Wanaume, Sherehe ni jambo lililowekwa na wanadamu ili waweze kufurahia mafanikio yao na wengine hufanya sherehe wakati wa kuomba Dua kwa miungu yao. Vilevile Sherehe ilikuwa ni swala ambalo hufanyika kuonyesha Mwanzo au Mwisho wa Maisha fulani au hatua fulani katika Maisha. Mfano; Kuzaliwa kwa...
  6. martial jb

    Kocha Juma Mgunda nakuonya, uchezaji wa Simba bado hauridhishi

    Habari wakuu. Kwanza nianze kukupa hongera kocha mkuu wa Simba Juma Mgunda kwa kufuzu kwako makundi kwenye michuano ya CAF Champions League, hakika umepambana kwa kuitoa SIMBA pale ilipokuwa mpaka hapo ulipofikia. Ila ningependa kukuonya na kukuonya tena, onyo hili ambalo hautalisikia kwa mtu...
Back
Top Bottom