MWANAMKE AWEZA KUWA CHIFU?
Taarifa kuwa Rais Samia Suluhu amepewa hadhi ya Chifu kule Mwanza zimepelekea baadhi ya watu kuhoji kama kunaweza kuwa na Chifu mwanamke. Mchango wa Askofu hapa chini unalenga kupanua wigo wa mjadala kwa lengo la kuelimisha.
Neno Chifu, limetolewa kutoka katika neno...