Wakuu,
Marekani hivi karibuni imetangaza kwamba iko tayari kw mazungumzo kufuatia ofa ya Rais wa Congo Felix Tshekedi la kuipa Marekani madini mbalimbli ili Marekani iweze kuisadia Congo kupambana na kundi la M23
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, nchi yenye utajiri wa madini kama cobalt...
Kampuni ya Barrick Gold Corporation imetangaza kuanza hatua ya usitishaji wa shughuli zake kwa muda katika mgodi wa Loulo-Gounkoto uliopo nchini Mali.
Hatua hiyo imekuja kutokana na mvutano kati ya kampuni ya Barrick na serikali ya Mali kuhusu taratibu mpya za ugawanaji mapato yanayotokana na...
WAZIRI MAVUNDE ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MTO ZILA KIJIJI CHA IFUMBO, WILAYANI CHUNYA-MBEYA
▪️Aelekeza shughuli za uchimbaji madini kusimama kipindi hichi cha Masika kama ilivyoelekezwa na NEMC
▪️ Timu ya Wataalam kufanya tathmini kwa kina na kutoa taarifa ya athari ya Mazingira...
Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
Burkina Faso inapanga kufuta leseni za uchimbaji madini kutoka kwa baadhi ya makampuni ya kigeni na itatafuta kuzalisha dhahabu yake zaidi, alisema kiongozi wa junta Ibrahim Traore siku ya Jumamosi, bila kubainisha ni leseni zipi zinaweza kufutwa.
"Tunajua jinsi ya kuchimba dhahabu yetu na...
Beberu USA amekusudia kupambana na China katika umiliki wa Madini mkakati yaani critical minerals Kwa kuunganisha Bandari za Dar na Lobito Kupitia kuunganisha reli za Tazara na Benguela.
Huku Marekani ikiimarisha uhusiano na Tanzania, mipango ya kujenga miundombinu kando ya ukanda wa reli ya...
Viongozi wa vijiji vilivyopata gawio la mrahaba wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mavunde na viongozi wa Barrick na Serikali mkoani Mara.
Kampuni ya Barrick nchini yenye ubia na Serikali kupitia kampuni ya Twiga Minerals kupitia mgodi wake wa North Mara, imekabidhi gawio la shilingi...
Kuna jambo ambalo ni mhimu na turufu kubwa sana katika nyanja ya kiuchumi, ni pamoja na kuwa na wanasiasa wenye ushawishi mkubwa, Arusha ilishajiweka vizuri sana kwenye eneo hili, Arusha inaongoza kwa kutoa Mawaziri wakuu nchini, hii ni nzuri kwao katika kuishawishi serikali kupeleka maendeleo...
Habari za usiku wakuu na wote humu. Nijikite kwenye mada juu.
Katika mihangaiko yangu nipo eneo la Kata ya Galigali Kijiji cha Matonya na pia Kuna mida nakuwa Kitongoji cha Idete hapa baridi kali Sana huku nikiendelea kusaka maharage kwaajili ya biashara. Nachosikitika ni kuona madini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.