Salaam, Shalom!!
Tumeambiwa kuwa, tembo na simba hawali madini, lakini hatukuambiwa wakati madini yakichimbwa ndani ya Serengeti, hao Simba watakuwa wapi!!?
Kutoa lesseni ya uchimbaji ndani ya Serengeti ya miaka 100 Kwa mwekezaji, ni sawa na kumuuzia mbuga zetu Kwa maana uchimbaji lazima...