uchinjaji wa nguruwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kwanini kitimoto kinazushiwa stori nyingi sana za uongo hapa bongo?

    Huyu mnyama anaongoza kwa kuzushiwa na kutungiwa mambo mengi sana ya uongo hapa bongo, mara ana minyoo ya kifafaa, mara hachinjiki, mara ana mapepo n.k. Kwa nini afanyiwe propoganda nyingi hivi za ajabu ajabu huko Ulaya wanakula hadi kitimoto kibichi kiitwacho(mett)?!
Back
Top Bottom