Huyu mnyama anaongoza kwa kuzushiwa na kutungiwa mambo mengi sana ya uongo hapa bongo, mara ana minyoo ya kifafaa, mara hachinjiki, mara ana mapepo n.k.
Kwa nini afanyiwe propoganda nyingi hivi za ajabu ajabu huko Ulaya wanakula hadi kitimoto kibichi kiitwacho(mett)?!