uchochezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Serikali kukaa kimya kwa kauli 'Tutaingia barabarani" na hakuna kukamatwa kwa uchochezi. Tundu Lissu kashaiingiza Serikali kwenye mfumo

    Kwa sasa hahitaji hata kuomba kibali cha mkutano ni kusema TU. Polisi njooni mnilinde nina mkutano. Hata Heche juzi kamwambia RPC huko Tarime huna uwezo tena wa kuniweka ndani. Kwa Sasa ni makamu m/kiti wa Chama Kikuu cha Upinzani. Ukinikamata yowe itapigwa dunia nzima.
  2. M

    Huu si uchochezi waliondikwa Mwananchi?

    Wameandika "Kada aliyempinga Rais Samia aliwa kichwa" Ktk uandishi wa habari, heading hio ina maana ya kwamba: Kaliwa kichwa maaana kakatwa kichwa na kutenganisha na kiwili wili
  3. Cute Wife

    LGE2024 Ruvuma: Mgombea wa ACT akamatwa kwa tuhuma za uchochezi

    Wakuu, Mjumbe wa kamati ya uongozi ya chama cha ACT Wazalendo jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, ambaye pia ni mgombea wa uenyekiti wa chama hicho kwenye kitongoji cha Maholela, Mohamed Kapopo amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi. Kupata taarifa na...
  4. JanguKamaJangu

    Lissu aiomba Mahakama itupilie mbali Kesi ya Uchochezi dhidi ya Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Wakili wa mshtakiwa Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Jijini Dar es Salaam, Tundu Antipas Lissu ameiomba Mahakama itupilie mbali shauri la Kesi ya Uchochezi dhidi ya Askofu huyo kwa madai kuwa halina mashiko. Kwenye shauri hilo la jinai, Namba 19525, Mwaka 2024...
  5. Mkwawe

    Pre GE2025 Viongozi wanasema ni haki yenu kikatiba kujiandikisha kupiga kura hao hao wanasema kuandama ni uchochezi na uvunjifu wa amani!

    Kuna wimbi kubwa sana la watanzania ambao wameupuuza huu uchaguzi wa serikali za mitaa na Mimi nikiwepo. Niwapongeze kwa kuchukua maamuzi yao kikatiba na kibinafsi kufanya maamuzi bila bugudha. Hii ndiyo sehemu pekee mtanzania anayo maamuzi binafsi bila mtutu wa polisi, vitisho vya viongozi wala...
  6. Analogia Malenga

    Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye

    Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM. Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania. Sijui...
  7. Kaka yake shetani

    Kesi ya uchochezi inayowakabili Malisa inageuka kwa Jeshi la Polisi kuhusu vifo vya utata

    Mahakamani ni sehemu ya ajabu sana kwa wale wenzetu tusiofikiria sheria wala maamuzi. Hili swala lilo lalamikiwa na jeshi la polisi kupitia afande muriro linawezaa kuzua mjadala mwengine ambao ukageuka kibao kwao kuhusu utata wa vifo vinavyo tokea kupitia wao au kuzuka jambo la kupotea kwa watu...
  8. U

    Tundu Lissu: Ukiwa na Rais mwizi mnawezaje kuwa salama? Katiba bora ni kuzuia Marais wezi

    Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi. ============= Tukirudi kwenye mada kumhusu huyu mwamba. Kwamba, haina shaka kuwa anaijua historia ya Tanganyika na...
  9. P

    Angekuwa amesema wa chama kingine au mwananchi wa kawaida angepewa kesi ya uhaini au uchochezi, Mwenyekiti UVCCM Kagera amechukuliwa hatua gani?

    Wakuu kwema? Tumekuwa tukishuhudia wasanii na wanasiasa kutoka vyam vya upinzani kuchukiliwa hatua wakikosoa upinzani kwa kupewa kesi za ugaidi na uchochezi. Akina Nay Wamitego na aliyeimba wanatuona manyani tu (Tanzania yetu) walivyotaabishwa, akina Mbowe chama chao kimekuwa na nenda rudi za...
  10. Papaa Mobimba

    Kuelekea Uchaguzi 2024 na 2025: Umesikia kauli gani kutoka kwa viongozi ukaona zinahatarisha Ustawi wa Demokrasia?

    Wakati wa chaguzi mbalimbali duniani huwa viongozi na wanasiasa wanatoa kauli mbalimbali katika kunadi sera zao na vyama vyao kwa ujumla. Kauli zinazotolewa huweza kuwa nzuri za kujenga au zikawa kauli za chuki zenye lengo la kugawa na kubagua kundi fulani. Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema...
  11. BARD AI

    Senegal: Serikali yazima Intaneti kwa madai ya kuepusha Machafuko na Uchochezi

    SENEGAL: Serikali imetangaza kusitisha Huduma za Intaneti Nchi nzima kwa maelezo kuwa inakusudia kuzuia usambazaji wa taarifa za chuki na uchochezi wa uasi baada ya Rais Macky Sall kuahirisha Uchaguzi Mkuu. Imeelezwa kuwa kuahirishwa kwa Uchaguzi uliotarajiwa kufanyika Februari 25, 2024...
  12. Msanii

    Tuache uchochezi. Stendi ya Magufuli haijabadilishwa jina lake mpaka sasa

    Nimeanza kuamini kuwa inawezekana serikali nayo ipo nyuma ya hizi tetesi za hovyo hovyo zinazosumbua nchi. Kukaa kwake kimya kuhusu jambo linalomhusu Makamu wa Rais liliibua sintofahamu kubwa hadi alipojitokeza hadharani Kuanzia juzi tarehe 17 kumezuka taharuki mitandaoni ambapo wanaoeneza...
  13. Suley2019

    Lijuakali aagiza polisi wamkamate Godbless Lema kwa uchochezi

    Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali ameagiza Jeshi la Polisi kumsaka popote alipo na kumkamata Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Godbless Lema ili ahojiwe kwa kauli za uchochezi alizozitoa kwenye mkutano wa hadhara Oktoba 24,2023. Kwenye Mkutano huo ambao...
  14. The Burning Spear

    Je huyu Msanii naye atakamatwa kwa uchochezi?. Piga kichwani joka la kijani.

    Huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono. CCM imefunga watu wengi kisa kukoslewa. Anza na yule dawa wa chato, Ney wa mtegp, Sifa na sasa huyu hapa mwamba... Je naye watamfunga?. Mabadiliko yanakuja COM kaeni mguu sawa.
  15. Bubu Msemaovyo

    Dkt. Remmy alifanya uchochezi?

    Haya ndugu zangu hapo ni Mwanamziki nguli akiimba wimbo trna wakati Nyerere mwenyewe akiwa hai. Waliokubali kukosolewa waliongoza vema. Nikisema vema siyo kwa kunyamaza nyamaza kwenye masuala ya msingi. Waliongoza bila kufanya mauzo kwa nchi yao. Nyerere hakuwahi kuuza sehemu yoyote ya ardhi...
  16. BARD AI

    Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

    Kwa mujibu wa Wakili Jebra Kambole ambaye yuko upande wa utetezi, amesema Watuhumiwa wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo kwaajili ya kusomewa Mashtaka yanayowakabili. Sifa Bujune, Mkazi wa Isyesye anashikiliwa tangu Septemba 13, 2023 pamoja na Mtayarishaji wa muziki aitwaye...
  17. R

    Kwa mujibu wa sheria ukifanya mambo haya haihesabiki kama umefanya uchochezi

    Kwa mujibu wa kifungu cha 55(2) cha Kanuni za Adhabu Sura ya 16, kitendo hakiwezi kuhesabiwa kama kufanya uchochezi ikiwa umefanya mambo haya; (a) Kuonyesha kwamba serikali imepotoka au imekosea katika mwenendo wake wowote; (b) Kuonyesha makosa au mapungufu katika serikali au Katiba ya Jamhuri...
  18. U

    Video: Watu wenye maoni ya kuikera serikali kama huyu dada ndio wasiotakiwa na serikali ya CCM. Sitashangaa polisi wakimkamata kwa uchochezi!!

    Kwa ufupi na kwa uchache; "Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!" "Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine...
  19. Roving Journalist

    Wakili Jebra Kambole asema Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kwa uchochezi akwama kupata dhamana Polisi

    Wakili Jebra Kambole amesema "Bado wanashikiliwa kituo cha polisi na hawajapewa dhamana Lakini tumeshapeleka kesi mahakamani kuomba waletwe mahakamani pamoja na wakili Philip Mwakilima, Boniface Mwabukusi na Nickson Kiliwa." Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye...
  20. Erythrocyte

    Mbeya: Mawakili waingilia kati kutaka Mwimbaji aliyekamatwa kwa Uchochezi afikishwe Mahakamani

    Taarifa yao hii hapa .
Back
Top Bottom