uchokozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sir John Roberts

    Ndege Vita za Russia ndani ya saa 48 katika ya pwani ya Marekani na Canada. USA alalamikia Uchokozi wa Russia

    Saa 48 zilizopita urusi amerusha ndege za kivita karibu na pwani ya Marekani na Canada kutokea baharini upande wa Jimbo la Alaska kitendo kilichoikasirisha sana marekani na kuita ni kitendo cha uchokozi kutoka kwa urusi . Safari hii hii marekani ajiandae kuonja utamu wa vita. Rais Putin...
  2. Mhafidhina07

    Machafuko ya middle east na uchokozi wa Israel ni wazi kuwa inataka kutengenezwa vita ya 3

    Hakuna asiyefahamu kuwa Bara la Asia ndiye tajiri mkubwa wa imani za kidini takribani asilimia 60 ya dini zimetoka katika bara la Asia niwazi kuwa ndiyo bara lenye ustaarabu mdogo kuliko mabara mengine hapa duniani,na kwasababu hizi imetengenezwa mfumo wa dini ili kuzitawala akili mbovu za hawa...
  3. Webabu

    Misri yapeleka Jeshi mpakani kukabiliana na uchokozi wa Israel

    Kimya kingi kina mshindo. Hatimae nchi ya Misri imeamua kuongeza askari wake maeneo ya mpaka wa Rafah na lango la Karem Shalom. Uamuzi huo umekuja baada ya maonyo ya awali na kufuatia taarifa ya jeshi la Israel kwamba liko mbioni kupeleka askari wa miguu eneo la Rafah walipojikushanya...
  4. Webabu

    Sasa Israel yaendeleza uchokozi kwa Misri. Yaitaka ifunge mpaka wa Rafah ili iweze kuwashinda Hamas na kujimilikisha Gaza mia kwa mia

    Katika maadhimisho ya siku mia za vita kati ya Israel na Hamas waziri mkuu wa Israel ameiamrisha Misri ifunge mpaka wake na Gaza na kuiachia Israel kudhibiti eneo lote linalounganisha Gaza na nchi hiyo ya kiarabu. Kipande hicho cha ardhi ambacho Israel kinakiita Philadelphi Corridor kina urefu...
  5. MK254

    Wapalestina 21,822 hawajavuka mwaka, kisa uchokozi wa HAMAS kwa Wayahudi

    Gaza imebaki ukiwa, magofu na damu kote, yote haya yangeepukika kama msingewaua watoto wa Wayahudi eti mnatekeleza maagizo ya dini ya kufuta jamii ya Wayahudi. ============ GAZA, Dec. 31 (Xinhua) -- The number of Palestinian deaths due to Israeli attacks on the Gaza Strip has risen to 21,822...
  6. MK254

    Mpaka sasa wamekufa 9,700 hivi mashabiki wa HAMAS bado mnaamini huu uchokozi ulikua sahihi?

    Makazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi? ================ Israel-Hamas war live...
  7. Boss la DP World

    Wadada wa Saluni Sitaki Uchokozi Wenu

    Boss la DP World leo nikaenda saloon kujiandaa kwaajili ya kuhudhuria kwenye hafla moja ya heshima sana. Baada ya kumaliza kupunguza nywele nikaelekezwa kwenye chumba kwa madai ya kwenda kuosha. Kufika kule nakuda wadada 2, black beauty 1 akaja mwingine akafungua mlango akasepa, aliyebaki...
  8. FaizaFoxy

    Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

    Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi. Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni uvunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka...
  9. Allen Kilewella

    Russia yasema Makombora yaliyopelekwa na Uingereza Ukraine ni uchokozi na itachochea vita kusambaaa.

    Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa. Urusi imetishia kutumia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa...
  10. GENTAMYCINE

    Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

    Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa...
  11. L

    Sera ya uchokozi dhidi ya China inayotekelezwa na Marekani yazidi kuwa wazi

    Fadhili Mpunji Wiki mbili baada ya Spika wa baraza la wawakilishi la bunge la Marekani kutembelea Taiwan, kinyume na kanuni za Umoja wa Mataifa kuhusu uhusiano wa kidiplomasia, na kinyume na makubaliano yaliyofikiwa na serikali za China na Marekani, kwa mara nyingine tena Marekani imefanya...
  12. Mzee Mwanakijiji

    Swali la Uchokozi: Jeshi la Polisi Halina Wanawake Wenye Uwezo?

    Labda hili swali tungeliuliza hata kuhusiana na Jeshi la Wananchi. Hasa baada ya hizi teuzi. Najiuliza inawezekana kwenye majeshi yetu hakuna wanawake wenye uwezo na ufahamu wa mambo ya kazi, operesheni na mikakati ya kijeshi kuweza kushika nafasi za juu kwenye majeshi hayo? Labda Rais yeye...
  13. bernard10

    China yaita kitendo cha Meli ya Kivita ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan kuwa cha kichokozi

    Jeshi la China limeripoti kama kitendo Cha uchokozi dhidi ya China, baada ya destroyer Raph Johnson (meli ya kivita) ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan (Taiwan strait). Jeshi la China limelaani/kulaumu KITENDO hicho Cha Marekani Huku likiongeza kuwa...
Back
Top Bottom