uchomaji wa takataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jimmywatanzania

    KERO Uchomaji wa taka nyakati za usiku Soko la Sabasaba, Dodoma

    Kumekuwepo na changamoto kubwa ya uchomaji wa taka kwenye soko la sabasaba jiji Dodoma, nyakati za usiku. Taka hizo ambazo ni mabaki ya majani ya migomba na mabaki ya matunda kutoka soko la "miti mirefu na PAG" imekuwa kero kubwa kwa sisi wakaazi wa uhindini. Wahusika watusaidie.
Back
Top Bottom