uchoraji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Kwa mliofika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma, unatoa asimia ngapi kwa ubunifu katika uchoraji ramani za majengo (archtecture designs)?

    Nawauliza wadau wa JF mliofika Mji wa Serikali Mumbai, mnatoa maksi ngapi? Jengo lipi mchoraji amefunika?
  2. EddyArt

    Ndugu zangu ninaombeni zabuni ya sanaa ya uchoraji picha za ukutani kwa majengo ya kisasa

    Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5. Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za uchoraji kwani ninafanya kazi kwa bei nafuu kwa kumjali mteja. Nikiwa kama kijana ambaye sina ajira...
  3. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro: Tanzania na Ireland Kushirikiana Katika Michezo (Soka la Wanawake na Uchoraji)

    WAZIRI DKT. NDUMBARO - TANZANIA NA IRELAND KUSHIRIKIANA KATIKA SOKA LA WANAWAKE NA UCHORAJI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na Balozi wa Ireland hapa nchini Mhe. Mary O' Neill na kukukubaliana kushirikiana katika Sekta ya michezo hususan soka la...
  4. Plastic

    Kwanini tatoo ni ngumu sana kufutika?

    Natumaini wote tumewahi kusikia au hata kuona mtu akiwa na tatoo kwenye sehemu fulani ya mwili wake. Je, kwani tatoo ni ngumu sana kufutika?? Kwanza kabisa ni muhimu kujua kua tabaka la juu kabisa kwenye ngozi(epidermis) ndilo tunaloliana kila siku kwa macho na huwa na kawaidi ya kutoa seli...
  5. Dj Aiman

    Je, hip hop ndio mziki bora wa wakati wote? Vipi kuhusu misingi yake?

    Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City, hasa katika kitongoji cha Bronx na badae katika miji mikubwa yote Marekani alafu Dunia nzima.Muziki wa hip hop pia huchukua tabia...
  6. Zero Conscious

    Wataalam wa sanaa ya uchoraji

    Wakuu habari za wakati huu, ninatumai mu wazima wa afya. Naomba kufahamu humu kama kutakuwa na wataalamu wa sanaa ya UCHORAJI, Aidha Mabango ya biashara, picha za kupamba ukutani au majengo ya biashara. Kama mpo naomba tuwasiliane, au kama kuna mwenye groups za Whatsapp au telegram...
  7. Tyrone Kaijage

    Ujumbe katika picha kutoka sanaa ya uchoraji

    Wasanii wa uchoraji duniani kote wamekuwa wakitumia sanaa kufikisha jumbe kwa namna fikirishi, mfano kwa hapa kwetu ni zile maarufu za Masoud Kipanya. Zinazoakisi mwenendo wa maisha yetu ya kila siku. Hebu tupia picha uliyoiona ni fikirishi itufikirishe pia.
  8. Gentleman96

    Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

    Habari za wakati huu kwenu wote! UCHORAJI ni sanaa ya kuweka alama kwa kutumia vifaa mbalimbali vya kuchorea, kama vile kalamu ya wino au ya risasi , burashi , penseli za rangi ya wax, crayoni, makaa, choko, pastels, aina mbalimbali za erasers, markers, styluses, metali mbalimbali (kama...
Back
Top Bottom