Habari za wakati huu kwenu wote!
UCHORAJI ni sanaa ya kuweka alama kwa kutumia vifaa mbalimbali vya kuchorea, kama vile kalamu ya wino au ya risasi , burashi ,
penseli za rangi ya wax, crayoni, makaa, choko, pastels, aina mbalimbali za erasers, markers, styluses, metali mbalimbali (kama...