Unakua mchoyo wa penzi, halafu matokeo yake ukifika nyumbani unaishia kupiga punyeto,huku ukijutia kupoteza fursa uloikataa bila sababu ya msingi, baada ya kuombwa penzi na mtu wa maana sana.
Na mbaya zaidi saa zingine, ukimkuta mtu yule yule uliemkataa anatoka na mtu mwingine na wanapendana...