Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.
Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani...