uchukuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyanswe Nsame

    Wizara ya uchukuzi na kampuni kikorea matatani, madeni yawaandama

    WIZARA YA UCHUKUZI, KAMPUNI YA KICHINA MATATANI, MADENI YAWAANDAMA WIZARA ya Uchukuzi kwa kushirikiana na kampuni ya KICHINA ya China Railway 15 Bureau Group corporation (CR15G) inatuhumiwa kuvunja mkataba na kampuni ya AQARIAN Project Solutions walioingia kujenga na upanuzi gati (kina)...
  2. Pfizer

    Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa arejesha safari za ndege za Air Tanzania Dar kwenda Iringa. Nauli kuanzia Tsh 199,000 kwenda na Kurudi

    Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amezindua rasmi safari za ndege kupitia Air Tanzania kutoka Dar Es laam kwenda mkoani Iringa na kutoka Iringa kwenda Dar es laam huku akiitaka Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kujiimarisha zaidi ili kuweza kuwa na ushindani. Prof. Mbarawa amezindua safari...
  3. Roving Journalist

    Waziri Kombo akutana na Waziri wa Uchukuzi wa Czech wagusia kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi wa Jamhuri ya Czech, Ing. Martin Kupka jijini Prague Januari 18, 2025. Waziri Kombo alisema sekta ya uchukuzi ni moja ya sekta muhimu katika maendeleo ya nchi na...
  4. elimsihi

    SoC04 Mabadiliko katika teknolojia ya mawasiliano na uchukuzi

    Ni mwaka 2034. Tanzania imebadilika kabisa, ikiwa na miundombinu ya kisasa ya mawasiliano na uchukuzi inayotumia teknolojia za hali ya juu. Haya yote yalianza na maono thabiti na mipango kabambe iliyowekwa mwaka 2024. Katika kipindi cha miaka kumi ijayo, tunaweza kubadilisha sura ya nchi yetu...
  5. Roving Journalist

    Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa kagua SGR, Treni kuanza kufanya kazi Juni 14 (Dar-Moro), Julai 25 (Dar-Dom)

    Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amefanya ziara Shirika la reli Tanzania – TRC kuanzia Stesheni ya reli ya kiwango cha kimataifa – SGR ya Tanzanite hadi Banana jijini Dar es Salaam mnamo Mei 24, 2024. Dhima ya ziara ni kuangalia maendeleo ya mradi wa SGR na utayari katika kuelekea kuanza...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kwagilwa Nhamanilo Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Bungeni Jijini Dodoma

    MBUNGE KWAGILWA NHAMANILO Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Bungeni Jijini Dodoma "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu anakwenda kuweka historia kubwa Tanzania kama Rais aliyefanya Mapinduzi makubwa kwenye eneo la Reli. Serikali inatarajia kutengeneza mtandao wa Reli...
  7. Ojuolegbha

    Tabasamu achangia mjadala bajeti Wizara ya Uchukuzi kuhusu bandari kuwa rafiki kufanya biashara na Congo

    Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mhe. Tabasamu Hamis, akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Mei 6, 2024 Bungeni Dodoma. " Uwanja wa Dodoma ni mdogo lakini haujaufanya kuwa bize kwa ajiri ya biashara" Alisema Tabasamu. Pia alizingumizia swala zima ya safari kufika mikoa mingine kuja...
  8. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya Ziara Kutembelea Reli ya Kati Kujionea Hali ya Uharibifu Morogoro

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara kutembelea reli ya kati kujionea hali ya uharibifu uliojitokea baada mvua kunyesha kuanzia January 25 mwaka huu. Mhe. Naibu Waziri akiwa kwenye Kiberenge ameanzia ziara katika eneo la Lukobe Manispaa ya Morogoro, Munisagara na Mzangaza...
  9. Roving Journalist

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Mbarawa: Kasi ya Mkandarasi Mradi wa SGR imepungua, yupo nyuma kwa 10%

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR eneo la Makutupora - Tabora na kusema “Kazi inaendelea vizuri ingawa kuna changamoto kadhaa, kubwa ikiwa ni kasi ya mradi ambayo tuliitegemea imepungua, leo tulitegemea Mradi ufikie takribani 22% lakini tupo...
  10. Roving Journalist

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Mbarawa azindua Bodi Mpya ya Wakurugenzi TRC

    Shirika la Reli Tanzania - TRC imefanya hafla fupi ya uzinduzi wa Bodi mpya ya wakurugenzi iliyoongozwa na mgeni rasmi Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa iliyofanyika katika jengo la stesheni ya SGR lililopo jijini Dar es Salam Septemba 11, 2023. Bodi mpya iliyozinduliwa ni pamoja na...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mfahamu David Kihenzile, Naibu Waziri Mpya wa Uchukuzi

    Na; Thadei Ole Mushi. Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na Manaibu Waziri yaliyofanywa siku sita zilizopita yanatoa somo kwenye mambo mawili makubwa. 1. Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kuachana na Mawaziri na Manaibu Mawaziri ambao aliwarithi toka kwenye awamu zilizopita. Maingizo ya watu...
  12. Mpinzire

    Nini hasa kusudio la Rais Samia kutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi?

    Bado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi! Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally...
  13. tamsana

    Dr. Possy, Naibu Katibu Mkuu, Uchukuzi yupo DK 45 ya ITV: Najitahidi nimuelewe imeshindikana

    Suala la Mkataba wa uwekezaji, uendelezaji na uendeshaji wa Bandari ya Tanganyika kupitia DP World limeshika kasi ambapo leo Dr. Possy yupo ITV kwenye kipindi cha DK 45. Kwa kweli huyu Dr. amekuwq mstari wa mbele katika kutoa ufafanuzi kwenye media tofauti tofauti lakini kila nikijaribu...
  14. Magufuli 05

    Kwa saini yako kwenye mkataba wa DP World, Waziri wa Ujenzi na uchukuzi bado upo madarakani kweli?

    Najiuliza tu, ni kweli wewe waziri wa Ujenzi ulisaini ule mkataba ukiwa na akili timamu? Nini hasa ilikuwa dhamira yako? Nani alikuwa nyuma yako? Wewe na waliokuwa nyuma yako mnajisikiaje kwasasa? Je, ni Mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza kukuamini wewe kwasasa? Huoni aibu kwani? Na...
  15. Ngungenge

    Prof. Mbarawa uzembe mliofanya wizara ya uchukuzi unamchonganisha Rais Samia na Wananchi

    Taifa zima tunabishana mambo madogo ambayo yanatokana na kukosa umakini. Ni upuuzi na ujinga. Gwajima alisema watu wa serikalini hawana exposure mtu kama Prof. Mbarawa pamoja na kusoma kuwa Professor anashindwa ku calculate public damage yaani akili za kijinga sana kukosa exposure na maarifa...
  16. K

    Msaada wa ufafanuzi kuhusu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi

    Wataalam naomba aliyeelewa sentensi hizi zinahusu hii barabara ya pugu-mbezi- mwisho hadi bunju anisaidie ufafanuzi. Make mimi mchanganyiko wa maneno sikuuelewa kabisa. Naomba mtu anayeelewa anifafanulie hii barabara niielewe plz
  17. Stephano Mgendanyi

    Shilingi Trilioni 3.554 Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi 2023/2024

    BAJETI YA TRILIONI 3.554 KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI - WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 3.5 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara, madaraja, viwanja vya...
  18. Mwl.RCT

    SoC03 Changamoto na Suluhisho za Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi: Kesi ya Barabara Nchini Tanzania

    Utangulizi: Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi ni mada muhimu sana katika maendeleo ya uchumi na jamii ya Tanzania. Sekta hii inahusika na mipango, utekelezaji, na usimamizi wa sera na mikakati ya ujenzi na usafirishaji nchini Tanzania. Lengo kuu la andiko hili ni...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Ushetu Aibana Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Bungeni

    MHE. EMMANUEL CHEREHANI - MASWALI NA MAJIBU BUNGENI KUPITIA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambalo limejibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi na...
  20. Q

    Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi: Mabehewa yaliyokuja siyo ya SGR ni ya MGR

    Behewa ni 22 zilizokuja kwa reli ya Kati MGR na si miongoni mwa behewa za @SGR_tz. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.
Back
Top Bottom