Kila kunapokuwa na jambo ka moto mara zote CCM huja na vijambo Ili kuwatoa wananchi kwenye umakini. Wote tunajua kuwa moja, kuna mgao mkali sana wa umeme ambao hata haueleweki, kuna mgao wa maji huku bili za maji zikiwa ni zile zile na kuna ucheleweshaji wa mishahara pamoja na ugawaji wa kihuni...