Heshima yenu wanajf, ipo hivi: Nipo kwenye mahusiano na huyu mwanamke kwa miezi minne sasa. Wakati namtongoza nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilikosea—nilimwambia nitamuoa ilhali sikuwa na malengo hayo.
Baada ya mwezi mmoja, usumbufu ukaanza; mara anauliza ni lini naenda kwao...
Wana JamiiForums hope mko poa kabisa
Naomba kuuliza hili maana linanitesa sana. Mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nimemlipia mahari na nikamvalisha pete.
Ila mimi baada ya kuona haeleweki nikampotezea. Swali ni kuna madhara yoyote ukiachana na mtu ambaye ushamlipia mahari na kumvisha pete...
Kuna mwanamke nmekuwa nae kwenye mahusiano takribani mwaka na nusu na malengo yangu mwez wa 12 nikatoe mahari kwao, tulikuwa tumeshatambulishana kwahyo kwao wananifahamu na kwetu vile vile wanamfahamu,
Kwa kumwelezea kdgo huyu bidada ni mpole,mtu wa dini sana na anazungumzika vzr kwa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.