Napendekeza hilo kwasababu mahangaiko ya vijana wa kike na wa kiume katika kutafuta wanchumba, wenza na wake wa kuoa ni makubwa mno huku changamoto ya kila moja kumpata mwenza wake ikiwa ni kubwa mno.
Napendekeza pawepo na taasisi maalumu yenye vituo maalumu mikoa mbalimbali kwajili ya vijana...
Wakuu Salaam!!!!!
Nilikuwa nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hivi,tuli-date na mwisho wa siku akawa amenasa ujauzito na akaniambia kuwa Mimi ndio Muhusika,basi nikakubali japo nilikuwa nina mashaka sana
Kuna muda niliambiwa kuwa yuko kwenye mahusiano na jamaa yangu na wakati bado ana...
Kuliko mabinti, wasichana na wananawake pekee kujaza makanisa na masinagogi wakitafuta wenza na wachumba kwa maombi na maombezi kwenye nyumba za ibada,
Uko umuhimu wa kufanya kongamano la kitaifa na mikesha maalumu kwa vijana wa miaka 18-40, wa kike na kiume, ambao bado hawajaoa wala kuolewa...
Imezoeleka kusikia mabinti wakisema nadate na mtu fulani au fulani anadate na fulani au nataka kudate na fulani.
Kudate ni ile aina ya mahusiano ambayo watu wawili wasio jua hatima yao wanaamua kuwa pamoja wakifanya mambo au kuwa na ratiba as if ni wapenzi lakini sio wapenzi rasmi.
Sisi...
ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu,
na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana....
hongereni sana kwa hatua mliyofikia,
Mungu...
Wadau Saluti
Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100%
Mimi naona umri umeenda na sio wakati wa kuwa na mahusiano yasio rasmi hivyo nataka kuoa ila nikimwambia nia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.