Wakuu hapa nimevurugwa.. ni hivi wote tulikuwa hatufahamu yaani hatufahamiani..
Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu.
Juzi wakati tunapiga story huyu mwanamke akaanza kuniuliza mimi mtu wa wapi i mean...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.