Good Morning 🌞 for Everyone.
2025
Jipange upya njia uliyoitumia kuyaendea mafanikio na plan zako mwaka 2024 usikubali kurejea nayo kwani adui wamekutegea mikwamo mingi sana pengine mwaka 2025 usifike hata robo ya safari yako ya mafanikio,
Ninachotamani uelewe ni hiki hapa!!
Umekuwa ukifanya...
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.
Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!
Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Kuna misemo kwamba ukiona bosi kakalia kiti cha kuzunguka (lugha ya mafumbo kutoboa) ujue kafanikiwa, fanya kazi kama mtumwa uishi kama mfalme, n.k.
Hio misemo ni kwajili yetu tuliotokea familia duni, ili kutoboa ni lazima upambane sana aidha usome sana ubahatike kuajiriwa sehem yenye maslahi...
Wanabodi,
Kupokea na kuuza nje bidhaa mbalimbali ni jambo la muhimu na la kawaida katika nchi yoyote. Kulingana na uhitaji wa bidhaa mbali mbali au mahusiano kati ya nchi moja na zingine, bidhaa huingizwa kukidhi mahitaji haya au huuzwa nje ya nchi kuiingizia serikali na makampuni husika...
Ningependa kufahamu, wengine mliwezaje kuinuka tena baada ya kuanguka kiuchumi? Mlitumia mbinu gani kuondoka katika hali ya ufukara uliokithiri, na ni nini kilichowasaidia kufanikisha hilo?
Mbona kwangu imekuwa tofauti sana?
Inaonekana kuisha miaka mitatu, bado nikiwa katika giza nene baada...
Habari wana JF
Natumaini tuna vipato tofauti tofauti humu ndani embu leo tupeane utaalamu kidogo wewe unaweza kusave kiasi gani kwa mwezi na ni asilimia ngapi ya kipato chako kwa mwezi hiyo ela unayosave na Je kama huwezi kusave kabisa ni nini kinakukwamisha.?
Binafsi kwa mwezi nimejiwekea...
Nashangaa Kuna watu wanalalamika maisha ya Tanzania yamekua magumu mbona wananchi tunafurahia sana maisha maana tuna viongozi wanaotujali.
Tunamshukuru sana Mungu Kwa kutupa viongozi imara kupitia chama Cha ccm maana nchi imejengeka sana na wananchi tunaishi maisha mazuri na mwakani kura yangu...
"Wakuu habari.
Nina umri wa miaka 20 sasa lakini pia kipato nilichonacho kwa siku hakizidi 7000 Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26 lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya."
Nawapa tips watu wa mshahara, hii ni gauge ya kujipima kama unafanya kazi au unafanywa kazi, nitatumia mifano hai, ambayo unaweza kurelate nayo kwa Tanzania. Ukiona inakukera ujue ushafeli.
1. Mshahara wako wa mwezi kama hauwezi kununua smart phone mpya ya flagship kwa mwaka husika. Mf. Pixel...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe, anaendelea kuonyesha miujiza iliyokuwa kama haiwezekani kufanyika , anaendelea kukosha mioyo ya watanzania, anaendelea kugusa kila eneo. Anaendelea kukuza uchumi wetu kwa kasi ya ndege vita, anaendelea kuonyesha kuwa hajafika hapo...
1.Fungua youtube channel
-Hapa focus kwene kipaji chako, waonyeshe au waambie watu kuhusu kipaji chako.
Kama n mbea pia uwe unaongelea watu maarufu
2.Uza vitu/bidhaa
-Kam huna mtaji anza kuuza vitu kama makopo ya kuotota ,vyuma chakavu
-kama unamtaji tafuta bidhaa peleka sehemu ambayo inauzika...
Natumai mko salama. Ningependa kushiriki nanyi wana Jf kuhusu hali yangu ya kifedha na biashara yangu. Biashara yangu imekuwa ikifanya kazi kwa mwaka sasa, lakini mapato yameanza kupungua kutoka kiwango kilichokuwa awali hadi kufikia nusu (ni miezi mitano sasa) Nina mfanyakazi niliemlipa kila...
Gas ya kupikia kwisha wakati huna jambo lolote mfukoni, au Gas iishe wakati una njaa na ndio tu ameanza kupika na wewe ndio uko njiani unatoka kwenye marejesho ya mkopo?
Mbaya zaidi, store hakuna mkaa na mara ya mwisho ulimkopa mangi na hujamlipa mpaka sasa...
Wajemeni, kuna afadhalli yoyote...
Kwanza kabisa nakubaliana kuwa maisha hayana kanuni kwenye kuyaishi. Kila mmoja ana njia zake za kujipatia kipato ili mradi ni halali. Pia kila mmoja ana tafsiri yake ya utajiri na umaskini. Kwa upande wangu kama una kipato cha chini ya $10000 (Approximately Tsh 28m) kwa mwaka basi wewe ni...
Hiki ndicho alichokiandika Kafulila kwenye Ukurasa wake wa X,
"Kati ya mwaka 2000 na 2025, pato la kila Mtanzania liliongezeka mara manne ( 4 ) kutoka US$360 mpaka US$ 1500 kama ikiendelea hivyo, mwaka 2050, pato la kila Mtanzania litakuwa US$ 6,000 sawa na Pato la Mwafrica ya...
Hamjambo wana JamiiForums
Wakati mwingine unaweza kuwaza sana hadi kichwa kinataka kubasti, kuna kipindi kabla sijawa mtu mzima nilikua napishana na mtu anaongea mwenyewe na kurusha mikono hewani, nilikua najiuliza sana, ila badae sana nikapata majibu.
Wadau nina nyumba mbili katika kupiga...
Hatupaswi kuishi jumlajumla.
Ni vizuri ukajitathmini na ujiwekee kiwango chako cha pesa na mali ambacho chini ya hapo utafanya lolote usishuke.
Madhara ya kuishi bila kujiwekea kiwango chako cha chini cha umasikini au kuishiwa utajikuta umeingia kwenye levo ya umasikini ambao haitawezekana...
NAFASI YA SEKTA BINAFSI KWENYE UCHUMI WETU
Andiko hili linaongelea nafasi na umuhimu wa sekta binafsi katika uchumi na maendeleo yetu tangu tulipoubwaga ujamaa wa Mwl Nyerere na kuingia kwenye mfumo wa kibepari. Kiufupi andiko hili linasema kwamba mchango wa sekta binafsi katika pato la taifa...
Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, ikiwemo upungufu wa kibiashara(yaani trade deficit) ambayo kwa sasa inafikia karibu 6% ya Pato la Taifa. Kulingana na takwimu za hivi karibuni, mauzo ya nje(Exportation) yanachangia takribani 17.4% ya Pato la Taifa la Tanzania, huku...
Robo karne ijayo Tanzania itakuwa katika nafasi bora ya kiuchumi hili ni jambo la kutia moyo.
Hakuna jambo jema likosalo changamoto zake, changamoto kubwa wa ukuaji wa uchumi ni ongezeko la watu wenye maradhi yasioambukiza na ongezeko kubwa la vifo vinavyotokana na maradhi yasioambukiza NCDs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.