Serikali Imewekeza sana kwenye miundombinu ya sekta ya elimu kwa miaka sasa, uwekezaji huo unaanzia Elimu ya msingi, sekondari za kata, vyuo vya ufundi na vyuo vikuu na kumekuwa na ongekezo kubwa la idadi ya wanafunzi unaojiunga mashuleni na vyuoni.
Lakini elimu wanayoipata haiakisi uhalisia wa...